STARTER

Hiki ni kifurushi cha kwanza ambacho ni kidogo kuliko vyote. Kwenye kifurushi hiki unapata vitu vifuatavyo

Maelezo ya ziada

Soma kwa makini vigezo na masharti yafuatayo ili kuepuka usumbufu'

Audio ni lazima iwe kwenye format ya WAV au FLAC. Kama hujaelewa nini maana yake ni vizuri kuniuliza au muulize producer aliyefanyia wimbo.

Artwoork au cover yako ni lazima iwe 3000px kwa 3000px. Ili kuepusha usumbufu na kucheleweshewa kutoka kwa wimbo ni vizuri ukazungumza na graphic designer wako mapema ili azingatie hivyo vipimo

Audio ni vema ikawasilishwa wiki tatu kabla ya tarehe ya kuachiwa rasmi (official release date) Kushindwa kufanya hivyo huweza kupelekea wimbo kutopelekwa kwenye playlists kulingana na genre ya wimbo wako.

Tsh.120,000/=

Kifurushi hiki utakipata kwa Tsh.120,000/= tu. Ni wakati wa kupeleka muziki wako to the next level