UMUHIMU WA MUSIC DISTRIBUTION

Kwa miaka ya nyuma haikuwa rahisi kwa msanii kuanza kuingiza pesa kabla ya umaarufu. Lakini kwa msaada wa DSP's sasa mtu yeyote mwenye kipaji ana nafasi ya kuingiza pesa regardless una umaarufu au hauna.

Jambo hili linawezekana vipi?

Naamini kabisa kuwa unazifahamu Streaming platforms kwa mfano Spotify, Apple Music, Audiomack, BoomPlay n.k. Hizi streaming platform zote huwa wanawalipa watengeneza maudhui ambao wanaweka kazi zao kwenye hizo platforms. Lakini ili uweze kulipwa ni lazima utumie Digital Service Providers(DSP's

Hakikisha wimbo wako ni original yaani isiwe copy ya wimbo mwingine
--------------------------
Hakikisha wimbo  hauna samples zenye nature sound au usitumie samples ambazo zimeshatumika na watu wengi
--------------------------
Hakikisha wimbo haujawahi kuwa distributed before
--------------------------
Vitu vingine nitakuelekeza location

Faida Za Ku Distribute Mziki Wako

Kuwafikia Watu Wengi Zaidi

Music distribution inasaidia wimbo kuwafikia watu wengi kwenye matatifa tofauti tofauti ndani ya muda mfupi hata kama ndio unaanza mziki.

Kuingiza Pesa (Kulipwa)

Music distribution itakufanya uanze kuingiza kipato kupitia mziki wako hata kabla ya kuwa maarufu au bila hata kufanya show. Pesa zinaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako ya benki.

Youtube Content ID

YouTube content ID ni kama digital fingerprint ambayo inaambatanishwa na audio yako ili kukusaidia kukusanya mapato pale watu watakapotumia wimbo wako kwa namna yoyote ile. Watu wakisikiliza,kushare au kudownload wimbo wako unalipwa.

Kufikisha Wimbo Kwenye Social Media

Music distribution itakusaidia kufikisha wimbo kwenye social media zote kama Instagram.Facebook na TikTok. Wasanii wanaingiza pesa nyingi sana kwenye hiyo mitandao kupitia nyimbo zao.

Spotify & Apple Artist profiles

Music distribution itakusaidia kupata Spotify for artist na Apple account for artist kwa urahisi sana. Infact hakuna njia rahisi kama hii

Artist YouTube Channel

YouTube akaunti ya msanii ni tofauti na channel za kawaida. Utakapo distribute kuanzia nyimbo 3 na kuendelea utakuwa umetimiza kigezo cha kupata Youtube channel kwa ajili ya msanii ambayo itakusaidia kuongeza engagement na kuwafikia watu wengi zaidi kama msanii

Hatua 3 muhimu

Ndani ya hatua 3 tu ngoma inakuwa hewani Dunia nzima

1.Kufungua Akaunti

2.Ku Upload Nyimbo

3.Withdraw Mtonyo Chap