Dawa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume (Honeymoon Exclussive)

Tiba ya upungufu wa nguvu za kiume limekuwa neno maarufu sana kwani tatizo hili la nguvu za kiume linazidi kuwa kubwa nchini Tanzania,kwa sasa sio watu wazima tu bali hata vijana wadogo kiumri wanajikuta wakiwa ni wahanga wa tatizo hili. Takwimu zinaonyesha kuwa mitindo ya maisha ndio imekuwa sababu kubwa ya matatizo haya kwa wanaume wengi. Ninaposema mitindo ya maisha hapa namaanisha tabia zako za kila siku kwenye ulaji,ufanyaji wa mazoezi na matumizi ya vitu kama pombe na sigara.

Upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na…

Ulaji mbaya

Hii ni hali ya kutozingatia ulaji mzuri kiafya,unakuta mtu anakula kitu chochote kinachowekwa mbele yake bila kuzingatia kina madhara gani kwenye afya yake. Ulaji wa vyakula vinavyoandaliwa kwa haraka (fast food) kwa mfano chips na vyakula vingine vinavyoandaliwa kwa mafuta mengi.

tiba ya upungufu wa nguvu za kiume

Pia ulaji na unywaji wa vyakula na vinywaji vyenye sukari kwa wingi ni hatari sana kwa afya ya uzazi ya mwanaume. Ili kuwa na afya njema ya uzazi ni lazima kuepuka kutumia vyakula vyenye mafuta na sukari nyingi mara kwa mara na dadhala yake unatakiwa kula vyakula vya asili kwa wingi kama mboga mboga,matunda na mbegu.

SABABU NYINGINE ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI PAMOJA NA

  • Kujichua
  • Kutofanya mazoezi ya mara kwa mara
  • Kuwa na unene uliopitiliza
  • Kutumia madawa makali ya hospitali especially dawa za pressure na kisukari
  • Kutazama sana video za ngono
  • Kutopata muda wa kutosha kupumzika
  • Msongo wa mawazo
Upungu wa nguvu za kiume ni nini 1

Kama tayari umekwisha athirika usihofu sana,tatizo lako linatibika hatua kwa hatua. Kwanza kabisa unatakiwa kubaini chanzo cha tatizo kwa maana bila kujua chanzo cha tatizo huwezi kulitatua. Kwa hiyo kitu cha kwanza kuangalia ni kitu gani kilisababisha hilo tatizo,kuna wengine ni sababu ya kujichua,wengine ulaji mbovu,wengine uvutaji wa sigara,wengine unene uliopitiliza,wengine msongo wa mawazo n.k. Kwa hiyo zipo sababu nyingi zinazopelekea tatizo hilo na kuitambua ya kwako ni nusu ya kulitibu tatizo kwani utaanza kuishi tofauti na mtindo wa maisha wa awali uliokuletea madhara.

TUMIA HONEYMOON EXCLUSSIVE

Honeymoon ni tiba ya upungufu wa nguvu za kiume kutoka nchini uturuki

tiba ya upungufu wa nguvu za kiume
tiba ya upungufu wa nguvu za kiume
tiba ya upungufu wa nguvu za kiume
WW1 removebg preview 1 1

Tiba ya upungufu wa nguvu za kiume pia inapatikana kwenye website yetu bonyeza link hapa chini. Kwa wanaopenda kulipia mkononi au kufika ofisini tafadhali wasiliana nami kupitia 0689 310 308

INGREDIETS

tiba ya upungufu wa nguvu za kiume | honeymoon
Inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke 4 1
tiba ya upungufu wa nguvu za kiume
tiba ya upungufu wa nguvu za kiume
Inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke 7 1
Inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke 8 1
Inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke 9 1
tiba ya upungufu wa nguvu za kiume
Inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke 11 1
Inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke 12 1

Jipatie tiba ya upungufu wa nguvu za kiume(Honeymoon Exclussive)

tiba ya upungufu wa nguvu za kiume

Tiba upungufu wa nguvu za kiume ni neno lenye maana tofauti kutoka kwa mtu mmoja na mwingine. Kwa wengine tatizo lao ni kushindwa kutungisha mimba lakini maeneo mengine wapo sawa kwa hiyo hii ni aina mojawapo ya upungufu wa nguvu za kiume.

Kwa wengine wao ni kushindwa kurudia tendo lakini uume unasimama vizuri na pengine wanatungisha mimba vizuri bila shida. Kuna wengine wao tatizo ni kushindwa kudumu kwa muda mrefu kwenye tendo na wengine unakuta hana hamu ya tendo. Lakini pia kuna hili kundi la mwisho ambalo matatizo yote yaliyotaja wanayo, kwaa hiyo ni vema kuwasiliana vizuri na na wahudumu wetu kwa kuwapa maelezo yakinifu ili ushauriwe dozi itakayoendana na tatizo lako. Karibu tuzungumze tuna uzoefu wa muda mrefu wa kuwahudumia watanzania kwenye sekta ya afya kwa wanaume na wanawake wa rika zote. Tunahudumia watu wa mikoa yote na nje ya nchi pia huduma zetu zinafika bila tatizo lolote.

Karibu sana tukuhudumie tunapatikana mikocheni na Kariakoo jijini Dar es salaam. Kwa wateja waliopo mikoani tunasafirisha mizigo kwa mabasi kwa gharama nafuu sana. Zanzibar tunatumia usafiri wa maji bila kusahau nchi jirani tunatumia usafiri wa mabasi na ndege. Kwa wateja walio nje ya Africa tafadhali tuwasiliane kupitia support@connecttanzania.com Tutafurahi sana kukuhudumia. Jiunge na maelfu waliojaribu bidhaa zetu na kujionea maajabu. Hata hivyo ni vizuri kwenda hospitali kwanza kupata vipimo ili kuweza kujua tatizo limefikia hatua gani kama ni tatizo linaloweza kupimika. Sisi ni wauzaji tu wa dawa,hatutoi huduma za vipimo. Asante na karibu sana kujipatia tiba ya upungufu wa nguvu za kiume


Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
  • Your cart is empty.