Diva Secret Stemcell ni bidhaa inayotengenezwa nchini Malaysia na kampuni inayoitwa DIVA SECRET INTERNATIONAL. Kwa mara ya kwanza bidhaa hii imeingia Tanzania mwaka 2020 na tangu hapo hapo imepata mafanikio makubwa sana kwenye sekta ya afya. Diva secret stemcell imejizolea umaarufu mkubwa sana sio tu Tanzania bali hata kwa mataifa mengine pia na sabau kubwa ya bidhaa hii kuwa maarufu sana ndani ya muda mfupi ni ufanisi wake katika kutibu magonjwa sugu.
Diva secret stemcell kitaalam sio dawa bali ni kirekebisha seli au kikarabati seli,maana yake ni kwamba bidhaa hii haina sumu kabisa na ndio maana haijatambuliwa kama dawa. Dawa ili iitwe dawa ni lazima iwe na sumu ambayo ndio inayokwenda kumshambulia yule kimelea wa maradhi aliyepo mwilini lakini kwa bahati mbaya sio kiwango chote cha sumu kinachokwenda kushambulia ugonja,kuna kiasi kidogo cha sumu huwa kinababki mwilini na kiasi hiki kidogo kikijikusanya kwa muda mrefu husababisha matatizo mengine katika mwili kama cancer,vimbe mbalimbali na maradhi mengine na ndio maana sasa hivi Dunia imegeukia kwenye tiba za stemcell kwa sababu hazina sumu na hazina madhara kwa mtumiaji.
Diva Secret Stemcell Inafanyaje Kazi?
Ufanyaji kazi wa Diva secret stecell ni tofauti kabisa na madawa mengine ya hospitali. Madawa wa hospitali yameandaliwa kwa ajili ya kutuliza ugonjwa mmoja mmoja, kwa mfano ukiumwa malaria ukanywa dawa za malaria basi utatuliza malaria tu kama una tatizo lingine kwenye mwili litababki pale pale lakini Diva secret stemcell imeandaliwa kutibu magonjwa mengi kwa wakati mmoja. Htakama una magonjwa 10 huna haja ya kutumia madawa 10 tofauti,dozi ya Diva secret stemcell inatosha kabisa kuponesha magonjwa yote.
Kwa Nini Ina Uwezo Wa Kutibu Mgonjwa Mengi?
Diva secret stemcell ina uwezo huo kwa sababu yenyewe haitibu ugonjwa mmoja mmoja bali inatibu seli za mwili. Ili kuelewa zaidi inabidi uelewe jinsi mwili wa binadamu ulivyoumbwa. Mwili wa binadamu kwa asilimia zaidi ya 98% umeundwa kwa seli kwa mfano seli za damu,seli za ngozi,seli za mifupa n.k.
Seli hizi kwa pamoja zikiwa na afya njema basi mwili wako utakuwa na hali nzuri kiafya lakini ikitokea seki moja wapo imechoka au imekufa basi hapo ndipo matatizo hutokea kwani kufa au kuharibika kwa seli hupelekea kinga za mwili kushuka,kitendo cha kinga za mwili kushuka ndio hutoa ruhusa kwa magonjwa kuushambulia mwili kiurahisi. Kwa hiyo jibu ni rahisi sana unapotibu seli za mwili kinga za mwili zinzpznda,kinga za mwili zinapopanda mwili wako unakuwa umerudishiwa uwezo wa asili wa kupambana na maradhi na hivyo kufukuza magonjwa yote mwilini.
Kazi Kuu 3 Za Diva Secret Stemcell
Diva secret semcell inapoingia mwilini inafanya kazi kuu 3 ambazo ni…
- REJUVENATION
Hiki ni kitendo cha kuhuisha au kufufua seli mfu (seli zilizofifia) Unapotumia Diva secret inakwenda kuboost seli zote zilizofifia au zinazoelekea kufa na kuzirudisha kwenye hali nzuri kiutendaji - REPAIR
Pia hufanya kazi ya kuzitengeneza seli zote zilizochoka au kuchakaa. - REMOVE
Kazi ya tatu ni kuziondoa mwilini seli zote zilizokufa kupitia mifumo ya taka mwili.
Maswali & Majibu
Je Diva secret stemcell inatibu magonjwa makubwa kama Cancer?
Ndio.,ndio maana tunasema Diva secret stemcell ni massive health. Diva secret stemcel ina uwezo asilimia 100% kutibu cancer za stage zote. Tuna shuhuda nyingi za wagonjwa wa cancer waliopona kabisa. Unapoendelea huku chini ya makala haya tumekuwekea shuhuda nyingi za watu waliopona magonjwa mbali mbali baada ya kutumia bidhaa hii.
Je Diva stemcell inatibu magonjwa ya kinamama?
Ndio diva stemcell inatibu magonjwa yote sugu yanayowasumbua wanawake kuanzia magonjwa ya uzazi, hormones pamoja na kuyeyusha vimbe tofauti tofauti zinazosababishwa na mrundikano wa sumu mwilini.
Je diva stemcell ina faida gani kwa wanaume?
Diva stemcell ina faida nyingi kwa wanaume ikiwemo na kuimarisha mfumo wa uzazi pamoja na nguvu za kiume. Wanaume waliotumia diva stemcell wamekiri kuona mabadiliko makubwa sana kwenye maisha yao ya faragha.
Je itakuwaje kama natumia madawa mengine?
Diva secret stemcell haina muingiliano wa aina yoyote na mdawa ya hospitali. Hata kama una dawa zingine bado unaweza kutumia diva stemcell kwani hii ina namna tofauti na kutibu mwili tofauti na madawa mengine ya hospitali.
Je wanawake wajawazito na watoto wanaruhusiwa kutumia diva secret stemcell?
Hapana hairuhusiwi kutumiwa na wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 18, japo kuwa kama mtoto ana tatizo fulani anaweza kutumia lakini si kwa mama mjamzito.