Cellifez Stemcell hufanya kazi zifuatazo mwilini
Hufanya kazi kuu tatu(3) ambazo ni 1. REJUVENATION(kuzalisha seli mpya mwilini) 2.REPAIR(kurekebisha seli zilizochakaa) na 3.REMOVE(Kuziondoa mwilini seli zote zilizokufa)
Hizo kazi kuu tatu ndizo zinazokamilisha muujiza wa cellifez stemcell kwani kwa kufanya hizo kazi tatu kinga za mwili wako zitapanda na kuurudishia mwili wako uwezo wa asili wa kupambana na maambukizi ya magonjwa. Hakuna aina yoyote ya ugonjwa utakaoendelea kuvumilia kukaa ndani ya mwili wako endapo kinga zako za mwili zitakuwa sawa. Na hiyo ndio sababu kuu kwa nini cellifez stemcell inatibu magonjwa mengi kwa wakati mmoja