JE!WEWE NI MSANII?

Mimi naitwa Charles Masterplan,kazi yangu ni kuhakikisha wimbo wako unafika Duniani kote. Nitakusaidia in every way possible kuhakikisha una jump start talent yako.

Itambulike kuwa muziki licha ya kuwa burudani lakini pia ni kazi ambayo msanii anatakiwa kuvuna matunda ya kazi yake.

Wasanii wanatumia muda,akili na pesa nyingi wakati wa kutengeneza muziki. Wakati mwingine hawalali na hata kujinyima kula ili kufanikisha mambo yao ya muziki. Hii ni ishara tosha kuwa msanii anatakiwa apate pesa pia kutokana na kazi zake. Swali la kujiuliza ni wasanii wangapi ambao kweli wananufaika na kazi zao?

Huduma ninazotoa

Natoa huduma ya kusambaza(distribution) nyimbo pamoja social media optimization.

Music Distribution

Njia kubwa na muhimu ya msanii kulipwa ni kuhakikisha kazi zako zinafika kwenye maduka ya kidigitali ya kuuzia muziki (Digital Stores) Kama Spotify, Apple music, Dizer, Audiomack, Boomplay,Tiktok,Instagram,Facebook n.k.

Social Media Optimazation

Mitandao ya kijamii ina mchango mkubwa sana kwenye mafanikio ya msanii. Kila msanii anatakiwa awe na social media accounts ambazo zipo optimized for success. Sio kila msanii ana uwezo wa kufanya optimization vile inatakiwa. Utaelewa zaidi kuhusu optimazation kwenye maelzo zaidi

Sponsored Ads

Hii kwa sehemu kubwa inahusisha videos. Msanii unapotoa video lengo ni kuwafikia watu wengi zaidi ndani ya muda mfupi ili uweze ku trend. Jambo hilo linawezekana kwa msaada wa YouTube Ads ambapo unalipia ili wimbo wako upate kupendekezwa kwa watu wengi zaidi.

Music Production & Mixing

Ili wimbo uweze kukubalika kwenye hizi platforms ambazo tunapeleka, ni lazima wimbo huo uwe original lakini pia uwe kwenye viwango vinavyokubalika na hizo platiforms. Kwa hiyo kama wimbo wako unajua uliufanya kwa producer ambae hakufanya mixing vizuri basi utapata na nafasi ya kufanyiwa mixing ili usilete faults wakati wa ku upload.

From Bongo To The World

Music Distribution

Tunatumia Digital Service Providers bora kabisa na zilizothibitishwa kwa matokeo yake. Kwa msaada wa hizi DSP's wimbo wako utafika kwenye digital stores zaidi ya 200 Duniani kote

CHAGUA KIFURUSHI CHAKO

Huduma zetu zimegawanywa kwenye virushi vitatu tofauti. Kila kifurushi kina bei yake. Chagua kifurushi kinachoendana na mahitaji yako

STARTER

  • Digital Platform
  • 1 Song

BABA LAO

  • Digital Platform
  • 2 Songs
  • Youtube Account
  • Branded Facebook Page
  • Music Promotion

BUNDLE

  • Digital Platform
  • 1Song
  • Youtube Account
  • Branded Facebook Page
"Muziki ni kazi,muziki ni maisha...Wasanii wana haki ya kuvuna matunda ya kazi zao,lakini kwa bahati mbaya sana ni wasanii wachache sana wanaoingiza pesa kupitia mziki wao. Ni wakati wa kuamka na kuelekea Dunia inakoelekea kiteknolojia. Kila mtu anayo nafasi.
Charles Masterplan Mwashambwa
Founder