Honeymoon Energy Drink ni kinywaji kilichotengenezwa kukupa nguvu unayohitaji kukamilisha majukumu yako ya kila siku kwa masaa 24. Kinyaji hiki kinatengenezwa nchini Uturuki na kwa hapa Tanzania kinasambazwa na Connect Tanzania Co.LTD. Kinywaji hiki kimetengenezwa ili kumpa mtumiaji nguvu za ziada kukamilisha majukumu yake ya kila siku.
Faida Za Honeymoon Energy Drink
1.Kuondoa aina zote za uchovu kwa masaa 24
2. Kuboresha afya ya macho
3. Kuboresha afya ya ubongo
4. Kupunguza msongo wa mawazo
5. Kuboresha mfumo wa upumuaji
6. Kurekebisha mapigo ya moyo
7. Inatia nguvu mwilini na kuimarisha afya ya mifupa.