Vidonge Vya Kuongeza Mwili (Safe) 100%Natural

Sh 45,000

Huongeza Hamu Ya kula (Appetite) –  Ni muhimu kuzingatia mlo kamili. Vidonge hivi vitakupa hamu ya kula kwa wakati na kula kiwango cha kutosha.

Itakuongezea wingi Protini mwilini mwako.

Kwa wafanyaji Mazoezi- itakusaidia kukuza misuli kwa haraka hasa kama unafanyamazoezi ya kunyanyua vitu vizito

Ili kuongeza mwili ni lazima mwili wako uwe na kiwango sahihi cha mafuta. Vidonge hivi vina uwezo wa kuongeza kiwango cha mafuta kwa haraka kwa kuongeza metabolisim ya mafuta mwilini mwako.

JINSI YA KUTUMIA
Vidonge 2×1
Dakika 30 Kabla ya kula chakula
Vidonge Vipo 60.
Vidonge hivi vya kuongeza mwili vitakupa matokeo  ndani ya siku 15 tu.
pia zingatia kupata muda wa kutosha wa kupumzika.

Hivi ni vidonge vya kuongeza mwili (fast weight gainer tablets) kwa watu wenye miili midogo sana. Vidonge hivi vimetengenezwa kwa viungo asilia visivyo na sumu yenye madhara kwa mtumiaji.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vidonge Vya Kuongeza Mwili (Safe) 100%Natural”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
  • Your cart is empty.
Kuongeza MwiliVidonge Vya Kuongeza Mwili (Safe) 100%Natural
Sh 45,000