COLLAGEN SURUHISHI LA MAGONJWA YOTE YA VIUNGO NA NGOZI(Honeymoon Mix Collagen)

Tunapozungumzia Collagen wengi wenu si jina geni kwenye masikio yenu kwani protini hii inapatikana kwenye vipodozi vingi vinavyosaidia kupambana na uzee. Kimsingi kila binadamu huzaliwa na protini hii by nature lakini kadri umri unapozidi kusogea protini hii huanza kupotea mwilini na ndio sababu kuna baadhi ya watu huchakaa mapema kuliko wengine kwa sababu kiwango cha kupungua au kushuka kwa protini hii hutofatiana kwa mtu na mtu.

Pia kupungua kwa protini hii mwilini huja na mtatizo mengine kama maumivu ya misuli na mifupa pamoja na kuisha kwa uroto kwenye viungo hasa magoti na kiuno.

Collagen ni protini muhimu sana kwenye miili yetu, inatajwa kuwa kirutubisho muhimu kabisa kwa afya ya ngozi,misuli na mifupa. Inasadikika kuwa protini hii ya collagen huanza kupungua au kushuka kwa wingi pale mtu anapotimiza miaka 30 na kuendelea. 

Ili kuepuka makunyanzi katika umri mdogo au hata uzeeni unashauriwa kuanza kutumia protini hii kila siku kwa muda wa mwezi mmoja au miezi miwili mpaka mitatu kwa wale ambao umri umekwenda sana.

MATUMIZI

Unashauriwa kutumia pakiti moja kila siku kwa kuchanganya na mchuzi au supu au juice ya matunda. unaweza pia kuchanganya kwenye maharage au rosti ya nyama.

ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KUTUMIA HINEYMOON MIX COLLAGEN

1.Kuondoa makunyanzi na michirizi mwilini
2.Kulinda ndozi dhidi ya makunyanzi na michirizi
3.Husaidia kuponya vidonda kwa haraka
4.Kuimarisha afya ya mifupa
5.Kurudisha uroto kwenye magoti na viungo vyote kwa ujuma
6.Kuongeza unyevu nyevu wa asaili wa ngozi
7.Kumaliza kabisa maumivu ya viungo
8.Husaidia kuboresha muonekano wa makovu
9.Kumaliza kabisa maumivu ya mgongo na kiuno.
10.Hukufanya kuonekana kijana hata katika umri wa uzeeni.

Honeymoo mix collagen hutumika na watu wa jinsia zote wanaosumbuliwa na matatizo ya viungo na ngozi. Wengi walioitumia wamerudisha majibu mazuri na ya kufurahisha sana. Hijalishi umri wako collagen yetu itakusaidia kurudi kwenye ubora wako. Tumia pakiti moja kila siku kwa muda wa mwezi mmoja halafu njoo utoe ushuhuda wako.

JINSI YA KUNUNUA HONEYMOON MIX COLLAGEN

Kuna njia mbili za kununua kutoka kwetu,njia ya kwanza ni kununua moja kwa moja online kupitia website yetu na njia ya pili ni kuweka order kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (WhatsApp) Kwa wateja waliopo Dar es salaam tunatoa huduma ya Free delivery na unaruhusiwa kulipia baada ya kupokea mzigo wako kama upo ndani ya Dar es salaam. Kwa wateja wote wa mikoani na nje ya nchi malipo yatatangulia kabla ya kutumiwa mzigo wako. Tunasafirisha mizigo kwa uaminifu mkubwa ndani na nje ya Tanzania.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
  • Your cart is empty.